Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, August 13, 2013

VIDEO PAMOJA NA TASWIRA ZA TAMASHA LA FESTFRICA 2013 MD USA

Sherehe za tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.
 
Muimbaji wa South Africa Lovraine Klaasen akitumbuiza katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.  
Lovraine Klaasen muimbaji kutoka South Africa akitumbuizi katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.   
Mamia ya wakaazi wa DMV wakiserebuka nyimbo za muimbaji Lovraine Klaasen katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Silver Spring Maryland Siku ya Jumapili Aug 11, 2013 lililohudhuriwa na mamia ya wakazi wa DMV nchini Marekani.  
Seif Msabaha  akiwa na mhariri wa swahilivilla Abou Shatry  katika tamasha la FestAfrica zilizofanyika Down town Silver Spring Maryland   
Mwanakamati ya maandalizi ya  FestAfrica mTanzania Nenelna akipata picha ya pamoja na Abou Shatry pamoja na DMK ndani ya tamasha la FestAfrica  2013 zilizofanyika down town Silver Spring Maryland 
Seif Msabah akiwa na Cheif wa sahilivilla pamoja na  Mdau katika usambazaji flayer za concerts ya Morgan Heritage itakayofanyika Siku ya jumamosi Aug 24, mwishoni mwa mwezi huu wa nane.
DMK, Tanzania Nenelna Sunday Shomary na mhariri wa blog ya swahilivilla Abou Shatry  
Mjini Silver Spring Maryland kulivyofuria mamia ya watu kutoka sehemu mbali mbali kuja kuangalia tamasha la  FestAfrica.  
Muimbaji wa South Africa Lovraine Klaasen akipata picha ya pamoja na  Mzee wa mavumbuzi in town Bruno Mazali to London, Sunday Shomari Mdada kutoka Arusha Tanzania Pamoja na Cheif wa swahilivilla Aboushatry.   Angalia Video fupi inayoelezea Tamasha la  FestAfrica. 
kwa picha zaidi angalia chini na bofya  Read more..

Credit: Ebou Shatry

No comments:

Post a Comment