Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, August 21, 2013

VIJANA WA MANISPAA YA MOSHI MNAKARIBISHWA KUSHIRIKI MAJADILIANO YA BARAZA LA KATIBA KWA AJILI YA KUTOA MAONI KATIKA RASIMU YA KATIBA MPYA

WOY inawakaribisha vijana wakazi wa manispaa ya Moshi kushiriki majadiliano ya Baraza la katiba kwa ajili ya kutoa maoni/Mapendekezo katika rasimu ya katiba mpya. Mkutano huu utafanyika kwa muda wa siku 3 wiki ijayo. Maoni yatakayokusanywa yatawasilishwa kwa tume ya mabadiliko ya Katiba. Kijana yeyote mwenye nia yakushiriki anakaribishwa kushiriki. Kwa mawasiliano kuhusiana na ushiriki na kupata nakala ya rasimu ya katiba mpya usisite kuwasiliana nasi. WOY is going to hold a three days meeting to collect youth voices towards the draft of new constitution of Tanzania The aim is to enhance youth Participation in the new Constitution Making Process in Tanzania by consolidating youth views and opinions toward the current proposed draft. The Moshi Youth residences are welcome to participate. The meeting will be held in Moshi on the next week...

No comments:

Post a Comment