Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, August 22, 2013

WASOMAJI WA KINGJOFA BLOG WOTE WANAOMBWA KUIPENDEKEZA BLOG HII KUSHIRIKI KATIKA "TANZANIA BLOG AWARDS"

Uongozi wa mtandao www.kingjofa.blogspot.com tunapenda kuwapa taarifa wasomaji wetu kwamba kwa mara ya kwanza mtandao wetu umekubali kushiriki katika kinyang'anyiro cha kutupendekeza na hatimaye kutupigia kura katika tuzo ambazo tumezichagua hapo chini. Pia unaweza kupata taarifa zote za shindano hili au kama na wewe unapenda kushiriki unaweza kutembela 

http://tanzanianblogawards.blogspot.com/ kwa maelekezo zaidi:


VIPENGELE TUTAKAVYOSHIRIKI NI HIVI VIFUATAVYO:-
1. Best Newcomer Blog
2. Best News Blog

4. Best Creative Writing Blog
5. Best General Blog

 
Mwanzo wa kupokea mapendekezo hayo ya kushiriki ni
Tarehe 17/8/ 2013 saa 12:01am mpaka tarehe 30/8/2013 saa 11:59pm saa za Africa mashariki.
 

Namna ya Kupendekeza "How to nominate"
Tuma email kwa kupendekeza kingjofa.blogspot.com kwenda kwenye anuani hizi za barua pepe:


nomination@bloggersassociationoftanzania.com  au  tanzanianblogawards@gmail.com

Unaweza kutuma email yenye Subject: "www.kingjofa.blogspot.com" halafu kwenye body ya email unaandika vipengele ambavyo ungependa blog hii ishiriki ambavyo ni:-


1. Best Newcomer Blog
2. Best News Blog
3. Best Creative Writing Blog
3. Best General Blog
3. Best EntertainmentsKama kuna kitu hujakielewa unaweza kuuliza kupitia email yetu ya kingjofa@gmail.com au kwenye facebook kupitia page yetu ya Habarika NA KING JOFA
TUNATANGULIZA SHUKRANI ZA DHATI KWENU www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment