Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, November 26, 2013

TAZAMA PICHA ZA MATUKIO YA UZINDUZI WA MBIO ZA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON 2014.


MENEJA WA TBL BWANA LEIYA AKITOA VIPAUMBELE VYA MASHINDANO YA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON 2014 AMBAPO TBL WAMEONGEZA ASILIMIA 25 KATIKAZAWADINA MTANZANIA ATAKAYESHIRIKINA KUSHINDA ATAONGEZEWA MILIONI MBILI ZAIDI TOFAUTI NAZAWADI AMBAPO KWA KIPINDI HIKI ZAWADI ITAKUA MILIONI NNE KWA MSHINDI WA KWANZA, MILIONI MBILI KWA MSHINDI WA PILI NA MILIONI MOJA KWA MSHINDI WA TATU.
BI. REMIDA IBRAHIM KATIBU TAWALA WILAYA YA MOSHI AKISOMA HOTUBA KWA NIABA YA MKUU WA MKOA KILIMANJARO.

MENEJA WA TBL LEIYA AKIWA NA MENEJA KIMEA WA TBL MWENYE SHATI JEKUNDU WAKIFUATILIA HOTUBA YA MGENI RASMI.

MKURUGENZI WA PHIJEMA VIDEO PRODUCTION AKIFUATILIA HOTUBA YA MGENI RASMI.


WADHAMINI WA MASHINDANO YA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON WAKIFUATILIA KWA KARIBU HOTUBA YA MGENI RASMI.


MMOJA WA WARATIBU WA MASHINDANO YA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON TOKA KAMPUNI YA EXECUTIVE SOLUTIONS LTD NDUGU KHALIFAN KIWANGO AKIFUATILIA HAFLA.

MGENI RASMI AKIWA NA WADHAMINI PAMOJA NA WAANDAAJI WA KILIMANJARO PREMIUM LAGER MARATHON HUKU AKIWA KASHIKA BENDERA KAMA ISHARA YA UZINDUZI WA MASHINDANO HAYO NDANI YA MKOA KILIMANJARO.

No comments:

Post a Comment