Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, October 18, 2014

Diamond azidi kung'ara kwenye wimbo alioshirikishwa na Yemi Alade wa NigeriaMuimbaji wa Afro Pop kutoka Naigeria anayefahamika kwa jina la Yemi Alade baada ya kukutanishwa kwenye Coke studio waliamua na Diamond Platinum, waliamua kwenda mbali zaidi kimuziki, kwa Yemi Alade kuamua kumshirikisha Diamond Platinum kwenye album yake.
Isikilize remix ya wimbo wa  "Kissing" kutoka kwa Yemi Alade aliomshirikisha Diamond Platnumz
No comments:

Post a Comment