Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 2, 2015

Chuo cha Garissa kilichopo nchini Kenya kimevamiwa na watu wenye silaha za moto na kuua wanafunzi

Map showing Garissa in Kenya

Watu waliokuwa wamejifunika nyuso za "Masked gunmen" wamevamia chuo cha Garissa kilichopo karibu na mpaka wa Somalia kaskazini mashariki mwa Kenya na kuuwa watu wawili na kujeruhi wengine wapatao 30.

Watu hao waliovamia chuo hicho cha Garissa haikua ahisi kuwatambua kwa kuwa walikua wamefunika nyuso zao, japo maeneo hayo ya mpaka wa Somalia upande wa Kenya kumekua na matukio ya aina hiyo yaliyofanywa na kikundi cha Al-Shabab.

Askari wa Kenya wamesema wavamizi hao walifika katika lango kuu la kuingia chuoni hapo saa kumi na moja asubui.

*Endelea kutembelea hapahapa kwenye mtandao wako pendwa wa Kilimanjaro Official Blog kwa habari zaidi kuhusu tukio hili*


No comments:

Post a Comment