Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 2, 2015

Hii ni maalumu kwa wakazi woote wa Moshi - Kilimanjaro na majirani zao


Kama ulikua unajiuliza wapi pakwenda sikukuu ya Pasaka "Easter" baasi jibu hili hapa, Wale mabingwa wa kuandaa matamasha ya burudani C'africa Bar
Wasanii wakali na wanaotingisha Tanzania, wataporomosha boonge la burudani ndani ya Kili Home (Boisafi) wasanii hao ni Joh Makini Mwamba wa Kaskazini, wakali wa reggae kutoka Arusha Warriors from the East, bila kuwasahau Wazee wa kibaba Makomando.Kwa udhamini mkubwa kutoka Megatrade  Investment chini ya kinywaji chake cha K-Vant watatoa kinywaji cha K-Vant kwa watu sabini wa kwanza kuingia mlangoni siku hiyo.

Burudani zote hizo unazipata kwa kiingilio cha shilingi elfu kumi tu (10,000) Kwa hakika hii si ya kukosa.

Unaweza kusikiliza kwa sauti hapa chini ili kufahamu zaidi..

No comments:

Post a Comment