Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, April 9, 2015

Kevera ajitoa kwa hali na mali kwa vijana katika kuinua sekta ya michezoMjumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamanda wa Umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Scolastica Kevera akikabidhi jezi kwa nahodha wa timu ya Twiga, Abuu Nido baada timu hiyo kuzishinda timu katika mechi zilizopigwa katika uwanja wa Twiga Tabata Kiswani Jijini Dar es Salaam.

Na Mwandishi wa Globu ya Jamii,
Mjumbe wa mkutano mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Kamanda wa umoja wa vijana wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Scolastica Kevera amesema kuwa yeye ni mwanamichezo ndio maana amejitoa kusaidia vijana katika sekta ya michezo kwa kutambua michezo ni ajira.

Akizungumza hivi karibuni, Scolastica amesema ataendelea kujitoa kwa vijana katika michezo ili waweze kufika mbali na kuweza kusaidia watu wengine.

Scolastica amesema vijana wakijituma katika michezo wanaweza kupata mafanikio na kuweza kusaidia nchi kwa uchumi kuptia michezo.

No comments:

Post a Comment