Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, June 29, 2015

"THE FULL CHARGE SHOW" Coming Soon

Inline image 1

"THE FULL CHARGE SHOW" @fullchargeshow ni Brand New Radio Show on MJ RADIO 93.0 FM @mambojamboradio !!!! Kuanzia Ijumaa ya Tarehe Tatu mwezi wa saba 2015 FROM Saa KUMI  hadi saa KUMI NA MBILI jioni Stay Tuned kwa kipindi hiki Bomba Kabisa,Show Kubwa Mjini,Kipindi Special cha kukufungulia weekend zako na kuzipa Muka kwa Info na Burudani Kabambe kikiendeshwa na @angel_de_malaika @munish2010 @nacz_lastborn & @MrCbeda

No comments:

Post a Comment