Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, July 22, 2015

"DOGO" AJITOSA UDIWANI KUPITIA CHADEMA KATA YA KORONGONI MJINI MOSHI.

Mpambanaji aliyejitambulisha kwa mwandishi wa blog hii kwa jina la Liberatus Oba Mawalla "Dogo" (pichani juu) amechukua na kurudisha fomu za kugombea udiwani kata ya Korongoni wilayani Moshi mkoani Kilimanjaro kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA).

Dogo ambaye ni Katekista wa Kanisa la Katoliki Parokia ya Korongoni amesema endapo atapata ridhaa hatapenda wamuite mheshimiwa na badala yake anataka wapiga kura wake wamuite ndugu.

Dogo akiwa na wanachama wa CHADEMA

Msafara kuelekea kurudisha fomu ukijipanga.


Hapa ni furaha tupu.

Dogo akiwa na vijana wa chama hicho.


Akisaini wakati akichukua fomu.

Msafara huo kurudisha fomu.


Na Dotto Mwaibale

No comments:

Post a Comment