Huyu ndiye mwanafunzi aliyeshika nafasi ya kwanza Kitaifa katika mtihani wa kidato cha nne toka shule ya Canossa Girls. Anaitwa Butogwa Charles Shija, akiwa mwenye furaha, nyumbani kwa wazazi wake Kipunguni Jijini la Dar es Salaam.
Huyu anaitwa Congcong Wang, ameshika nafasi ya pili kitaifa. Amemaliza kidato cha nne Feza Girls. Ni mtanzania mwenye asili ya China.
No comments:
Post a Comment