Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, August 9, 2016

HUYU HAPA MSHINDI WA SHINDANO LA MISS KANDA YA KASKAZINI 2016/2017


Mshindi wa taji la Miss kanda ya Kaskazini, Maurine Ayubu akiwa anapunga mara baada yakutangazwa kuwa mshindi wa taji hilo akifuatiwa na mshindi wa pili Glory Stephen huku nafasi ya tatu ikikamatwa na Eligiver Mwasha. Walimbwende wote watatu wanatarajiwa kuingia kambini kushiriki shindano la miss Tanzania.
Muandaaji wa shindano hilo Faustine Mwandago akiwa na warembo walioshinda siku hiyo.
 


Walimbwende wote 12 walioshirki shindano la kumsaka Miss Kanda ya Kaskazini katika ukumbi wa Triple A arusha.
Hawa ni majaji waliokuwa wakitoa hukumu kwa walimbwende wa shindano la miss kanda ya Kaskazini. 


Wazee wa Ngwasuma wakizikonga nyoyo za mashabiki jukwaani.


Bou Nako wa pili kutoka kushoto akiwa na baadhi ya wasani wa muziki wa HipHop Arusha.


Mweyekiti wa UVCCM mkoa wa Arusha naye akifuatilia kwa makini shindano la miss kanda ya Kaskazini. 

Wakurugenzi wa hotel ya Clous View ambao nao ni wathamini wa shindano hili wakifuatilia shindano halisi.


Chanzo: Lineneke Blog


No comments:

Post a Comment