Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, August 28, 2016

Rais Dkt. Magufuli na Mhe. Lowassa wakutana kwenye Misa ya Jubilei ya Dhahabu ya ndoa ya Rais Mstaafu Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa

Rais Mstaafu Mhe. Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiwa tayari kwa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam.

Rais Dkt John Pombe Magufuli akilakiwa na Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe wakati akiwasili kuhudhuria Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam.
“Maharusi” Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiingia kanisani tayari kwa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa na wageni waalikwa akiwemo Rais Dkt John Pombe Magufuli na mkewe mama Janeth Magufuli katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao.

Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao.
MC Mavunde akipiga kinanda wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.

Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa yao.

Sehemu ya waumini na wageni waalikwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.

Sehemu ya waumini na wageni waalikwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Sehemu ya waumini na wageni waalikwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.

Wanakwaya katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Kiongozi wa kwaya katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Sehemu ya wanafamilia wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Bw. Nicholaus Mkapa, mtoto wa Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa akisoma somo la kwanza katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu akiongea na wana familia, waumini na wageni waalikwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa hiyo.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.
Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe akiongoza Ibada ya ukumbusho wa ahadi za ndoa wakati wa Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.
Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni waalikwa wakiwa katika Misa ya Jubilei ya Dhahabu (miaka 50) ya ndoa ya Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akimvisha pete Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akivishwa pete na Mama Anna Mkapa katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakifurahia jambo baada ya zoezi hilo.

Paroko wa Parokia ya Mtakatifu Petro Fr. Stephano Kaombwe akitoa neno kwa “maharusi” hao wenye furaha.


“Maharusi” Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wanaketi baada ya ukumbusho wa viapo vya ndoa yao katika kanisa la Mt. Petro jijini Dar es salaam.
Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa akiongea na kadamnasi.

Rais Dkt Magufuli, mkewe Mama Janeth Magufuli, Mama Maria Nyerere, Mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa na waumini na wageni wakiendelea na misa.

Mawaziri wakuu wastaafu walikuwepo. Kutoka kushoto ni Jaji Joseph Sinde Warioba na mkewe Evelyn Warioba. Mzee Cleopa Msuya, Mama Amne Salim na mumewe Dkt. Salim Ahmed Salim na Mhe. Edward Lowassa na mkewe mama Regina Lowassa.

Sir Andy Chande akiungana na waalikwa katika misa hiyo.

Mohamed Dewji na mkewe wakiwa katika misa hiyo.

Makamu Mwenyekiti wa CCM Ndg. Philip Mangula na mkewe pamoja na wageni wengine.

Katibu Mkuu Kiongozi Eng. John Kijazi, Maspika wastafu Mzee Pius Msekwa na Mama Anne makinda na Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Balozi Ombeni Sefue.

Jaji Mkuu mstaafu Mhe. Barnabas Samatta na mkewe pamoja na waalikwa wengine.

Katibu Mkuu Kiongozi Mstaafu Mhe. Marten Lumbanga na mkewe pamoja na Waziri mstaafu Profesa Philemon Sarungi na mkewe Mama Sarungi.

Sehemu ya waalikwa.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakiongoza wana familia kupeleka matolea altereni.

Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu Katoliki la Arusha Josephat Lebulu akiongoza misa.

Misa ikendelea.

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mama Anna Mkapa.

Mama Janeth Magufuli na Mama Maria Nyerere wakiwatakia amani Mzee Mkapa na Mama Anna Mkapa.

Rais Dkt John Pombe Magufuli akimtakia amani Mhe. Edward Lowassa.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipokea hati malumu ya ndoa kutoka Vatican kwa Baba Mtakatifu Papa Francis kutoka kwa Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.

Rais Mstaafu Mhe Benjamin Mkapa na Mama Anna Mkapa wakipongezwa na Askofu Mkuu wa Kanisa Katoliki, Jimbo Kuu la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo.


Chanzo: Mo Blog

No comments:

Post a Comment