Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, November 16, 2016

KAMPUNI YA SIMU ZA MKONONI TIGO YAZINDUA 4G LTE SAME MKOANI KILIMANJAROKatibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga, akihutubia wakati wa kuzindua mtandao wenye kasi wa 4G LTE, hafla ambayo ilifanyika jana mjini Same.


Wafanyakazi wa Kampuni ya simu za mononi ya Tigo wakishuhudia uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE, uliofanyika jana mjini Same.


Baadhi ya wakazi wa mji wa Same wakisikiliza kwa makini hotuba ya mgeni rasmi, Katibu Tawala wa Wilaya ya Same Sospeter Mabenga


Katibu Tawala wa wilaya ya Same Sospeter Mabenga (kulia) akibonyeza kitufe kuashiria uzinduzi wa mtandao wa 4G LTE uliofanyika jana mjini Same, wengine kutoka kushoto ni wafanyakazi wa kampuni ya simu za mononi ya Tigo Tanzania, Mwajuma Mshana, Patrick Utouh na Vitalis Stephen. Mkurugenzi wa Tigo kanda ya kaskazini George Lugata akimkabidhi mgeni rasmi zawadi ya line mpya ya 4G LTE kwa ajili ya matumizi yake
Chanzo: kilimanjaro-yetu-blog

No comments:

Post a Comment