Rapper maarufu dunuaini wa HIP POP 50 CENT amepata ajali
mbaya ya gari jana usiku huko Queens New York baada ya gari lake
kugongwa na lori ambapo yeye na dereva wake walikimbizwa hospitali ya
karibu kutibiwa, hakuna taarifa nyingine za ziada kutoka huko ugaibuni ili ninakuahidi kukujuza habari yoyote itakayopatikana kuhusiana na ajali hiyo inayomhusisha rapper huyo maarufu... Bado ninaendelea kufuatilia kwa karibu sana kujua maendeleo na ni nini kitakacho fuata wakati rapper huyo akiendelea kupatiwa matibabu.
No comments:
Post a Comment