Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, June 27, 2012

Mama wajawazito Mbeya wateseka na mgomo wa madaktari

IMG-20120626-WA000.jpg
Baadhi ya mama wajawazito




Hali ni mbaya katika hospital ya mkoa wa mbeya baada ya kuzidiwa na wagonjwa hasa wakina mama wajawazito
hali hiyo imejitokeza tokea jana baada ya wakina mama wajawazito kukimbia katika hospitali ya wazazi ya META baada ya Mgomo wa Madaktari unaoendelea Nchi nzima
Mbali na wagonjwa kulala watatu watatu kitanda kimoja bado kuna ongezeko la wagonjwa wasio na pa kujiegemeza ubavu

Mahakama kuu imetoa tamko kwa kiongozi wa chama cha Madaktari kutangaza kwenye vyombo vya habari madaktari wasitishe mgomo baada ya makubaliano ya tarehe 22 june
kwa madaktari kutoshiriki ktika mgomo wowote mpaka maamuzi ya mahakama yatakapotolewa

No comments:

Post a Comment