Jacqueline Wolper.
MKALI wa filamu za Kibongo, Jacqueline Wolper amesema kuwa anatamani
kuzaa na mchumba wake, Abdallah Mtoro ‘Dallas’ ifikapo mwaka 2015.Akizungumza na mwandishi wetu juzikati, Wolper alisema anatambua
ataolewa muda wowote na Dallas lakini atafurahi zaidi kama atapata
mtoto akiwa na miaka 25.
“Natamani kupata mtoto nikiwa na umri wa miaka 25. Ninaye mchumba wangu Dallas ambaye najua atanioa muda wowote baada ya kuweka mambo sawa lakini pia nahitaji kuitwa mama haraka iwezekanavyo,” alisema Wolper
No comments:
Post a Comment