MKUU WA CHUO KIKUU CHA TUMAINI UNIVERSITY MAKUMIRA,ANAWATANGAZIA WATANZANIA WOTE KUFUNGULIWA RASMI KWA TAWI JIPYA CHA CHUO HICHO UYOLE JIJINI MBEYA, AMBACHO AWALI KILIJULIKANA KAMA CHUO CHA UALIMU CHA KILUTHERI MBEYA.
HIVYO MKUU WA CHUO CHA TUMAINI UNIVERSITY
MAKUMIRA MBEYA CENTRE, ANAWATANGAZIA NAFASI ZA KUJIUNGA NA MASOMO YA SHAHADA YA
UALIMU AMBAYO NI BACHELOR OF EDUCATION AND BACHELOR OF ARTS WITH EDUCATION KWA
MWAKA WA MASOMO 2012/2013.
CHUO KIPO KATIKA MAZINGIRA MAZURI YA
KUSOMEA, MAKTABA YA KISASA, MTANDAO WA INTERNET NA WALIMU WENYE UZOEFU,
HUDUMA YA AFYA INATOLEWA KATIKA ZAHANATI YA CHUO HICHO YENYE VIFAA VYA
KISASA NA INATOA MATIBABU KWA WANAFUNZI
PAMOJA NA JAMII INAYOWAZUNGUKA, PIA WALE
AMBAO NI WANACHAMA WA MFUKO WA BIMA YA AFYA YA TAIFA (NHIF) WATAPATA HUDUMA HIYO.
TUNAWAKARIBISHA WOTE KUJIUNGA NA WALE
WANAOPENDA KUHAMIA KATIKA CHUO, WAFIKE
KATIKA OFISI ZETU ZILIZOPO UYOLE ENEO LA NSALAGA BARABARA KUU IENDAYO DAR ES SALAAM KARIBU NA KITUO CHA MAFUTA CHA LAKE OIL ILI WAWEZE KUJISAJILI NA
KUPATA MAELEZO ZAIDI AU WATUME MAOMBI PAMOJA NA VYETI VYAO KWENYE BARUA
PEPE IFUATAYO:-tumashuco2012@gmail.com.
MASOMO YATAANZA RASMI TAREHE 27/10/2012.UDAHILI UNAFANYIKA SASA.
KWA MAWASILIANO ZAIDI PIGA SIMU ZIFUATAZO:-
0753
817 274, 0754 206 860, 0655 858 527
TAFADHALI UKISIKIA AU KUONA TANGAZO HILI
MTAARIFU NA MWENZIO.
No comments:
Post a Comment