Mmoja
wa wananchama kutoka vikundi vya vijana vya UN Clubs akiongea machache
wakati show maalum ya Tigo Mama Africa Circus ya kumuenzi Baba wa Taifa
Mwl Julius Kambarage Nyerere katika ukumbi wa New World Cinema Mancom
Centre uliopo Mwenge jijini Dar es Salaam.
Ngoma za Asili, Sarakasi na Michezo mbalimbali ya kufurahisha katika show maalum ya kumuenzi Mwl. Julius Kambarage Nyerere.
Ballete dancing.
Pichani
Juu na Chini ni Watazamaji wa Tigo Mama Africa Circus wakivunja mbavu
wakati wa show maalum ya kumbukumbu ya kumuenzi baba wa Taifa Hayati
Mwalimu Julius Kambarage Nyerere.
Ukitaka
kuvunja mbavu kwa Staili hii hudhuria show za Tigo Mama Africa Circus
Kila Ijumaa Mchana, Ijumaa Usiku, Jumapili Usiku na kupata Offer
maalum ya Nunua Tiketi Moja upate nyingine ya Bure.
Wazazi na Familia zao zikishuhudia Live show za Tigo Circus Mama Africa.
Steve R & B wa Inafrika Band akitoa burudani kwa watazamaji.
Msanii
Bongo Mtshali kutoka Afrika Kusini akiimbia wimbo wa msanii Shakira
uliotamba kwenye michuano ya Kombe la Dunia iliyofanyika nchini Afrika
Kusini.
‘Waka Waka Eeeehh……It’s time from Africa…
Tunawashukuru kwa kuja…Happy Nyerere Day Tanzana.
No comments:
Post a Comment