Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, December 8, 2012

HII HAPA VIDEO YA MAKAMUA AMBAYO ALIDANGANYA KAIMBA NA AKON

Kwenye AMPLIFAYA ya CLOUDS FM Decemba 7 2012 R’n'B star wa bongo Makamua aliongea ukweli kwamba mwaka huu uongo mkubwa alioufanya ni kudanganya kwamba single yake ya ‘bado kujuana’ amemshirikisha Super star Akon.
Alisema huo uongo wakati bado video haijatoka ila ukweli ni kwamba hajamshirikisha Akon bali ni Mtanzania anaitwa Eddo ambae kidogo ana sauti kama ya Akon, hii video hapa chini ndio ya hiyo single na huyo Eddo yuko ndani pia, itazame na uisikilize kwa makini utagundua kwanini Makamua aliamua kudanganya kuhusiana na hii nyimbo.

No comments:

Post a Comment