Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Wednesday, December 12, 2012

Nelson Mandela anasumbuliwa na maambukizi katika mapafu...!

Rais wa Kwanza Mweusi nchini Afrika Kusini Mzee Nelson Mandela anaendelea kutibiwa hospitali baada ya kuonekana kuwa na maambukizi katika mapafu.

Hii ni mara ya kwanza maafisa kufafanua kwa nini Mzee Mandela mwenye umri wa miaka 94 alikimbizwa hospitali ya jeshi katika mji mkuu wa Pretoria.

Msemaji wa Ofisi ya rais Mac Maharaj amesema vipimo vinaonyesha kujirudia kwa maambukizi ya pafu.

Maharaj ameongeza kuwa mzee Mandela anaendelea vizuri na matibabu anayopewa.

No comments:

Post a Comment