Marehemu Jaji Khamisi (Kashi)
Habari iliyotufikia hivi punde ni kwamba msanii wa filamu nchini Jaji
Khamis (Kashi)aliyewahi kutamba na michezo ya ITV enzi zile akiwa na
wasanii kama mzee masinde,samson na wengine katika mchezo wa Tamu chungu
na mingine mingi Amefariki dunia mchana huu katika hosptali ya taifa ya
muhimbili alikokuwa amelazwa,akizungumza na the super stars tz raisi wa
shirikisho la wasanii amesema kuwa tasnia yake bado inaendelea kukumbwa
na majanga lakini amedai yote ni kazi ya munguNae mzee masinde ambaye alikuwa nae katika kundi moja akiwa kama kiongozi wake amesema kashi ni msanii ambaye alikuwa mpiganaji na kwa hakika ni pigo kubwa katika tasnia yetu
Mungu ailaze roho ya marehemu Jaji Khamis (Kashi)
mahali pema pepponi Amini.
No comments:
Post a Comment