Meza kuu hii ikiwa ni maandalizi ya kuuaga mwili wa msanii marehemu
Albert Mangwea aliyefariki dunia tarehe 28 May 2013 huko Afrika Kusini na anatarajiwa kuzikwa leo mkoani
morogoro.
Utaratibu huu umeandaliwa katika uwanja wa jamuhuri mkoani morogoro
kwa lengo la kuwapa fursa wakazi wa mji huo kupata nafasi za kuuwaga
mwili huo kabla ya maziko
Umati mkubwa wa wakazi wa morogoro waliojitokeza katika zozi za kuwaga mwili wa msanii huyo mchana huu kabla ya maziko yake leo.
Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa.
Marehemu albert mangwea alifariki wiki iliyopita nchini afrika kusini na maziko yake yatafanyika leo mkoani hapa.
No comments:
Post a Comment