Arusha, Tanzania
WAKATI Uongozi wa Clouds FM ikiendelea kuweka msimamo wa kutopiga nyimbo za masanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura, Lady Jay Dee kutokana na kesi iliyoko katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ,shabiki mmoja na mdau mkubwa wa muziki nchini Tanzania ameibuka na kuchana kituo hicho cha Redio.
Lady Jay Dee alikuwa mmoja wa wanakamati kwenye msiba wa Mangwea lakini kuna kituo kimoja cha radio kiliwataja wanakamati wote yeye hakutajwa.
Pia marehem Mangwea ameimba nyimbo mbili na Jaydee lakini wakati wamaombolezo napo sikuzisikia nyimbo hizo za marehemu kwenye radio hiyo.
Na Lady Jay Dee ametangazwa kuwa msanii bora wa kike kwenye tuzo za kili, ajabu ni kwamba kituo hicho kimetangaza majina yote ya washindi lakini yeye hawajamtaja hata kwenye mitandao yao hawajaweka jina lake.
Nashindwa kuelewa kwa nini wanawanyima haki ya kupata habari wananchi, nyie mna ugomvi na Jaydee wananchi hautuhusu tupeni habari, nyie ni radio ya watu na watu ndio sisi.
YOU MIGHT ALSO LIKE THISWAKATI Uongozi wa Clouds FM ikiendelea kuweka msimamo wa kutopiga nyimbo za masanii wa muziki wa kizazi kipya Judith Wambura, Lady Jay Dee kutokana na kesi iliyoko katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kinondoni ,shabiki mmoja na mdau mkubwa wa muziki nchini Tanzania ameibuka na kuchana kituo hicho cha Redio.
Lady Jay Dee alikuwa mmoja wa wanakamati kwenye msiba wa Mangwea lakini kuna kituo kimoja cha radio kiliwataja wanakamati wote yeye hakutajwa.
Pia marehem Mangwea ameimba nyimbo mbili na Jaydee lakini wakati wamaombolezo napo sikuzisikia nyimbo hizo za marehemu kwenye radio hiyo.
Na Lady Jay Dee ametangazwa kuwa msanii bora wa kike kwenye tuzo za kili, ajabu ni kwamba kituo hicho kimetangaza majina yote ya washindi lakini yeye hawajamtaja hata kwenye mitandao yao hawajaweka jina lake.
Nashindwa kuelewa kwa nini wanawanyima haki ya kupata habari wananchi, nyie mna ugomvi na Jaydee wananchi hautuhusu tupeni habari, nyie ni radio ya watu na watu ndio sisi.
From Mambo ya Kileo:
Lady Jay Dee alikuwa mmoja wa wanakamati kwenye msiba wa Mangwea lakini kuna kituo kimoja cha radio kiliwataja wanakamati wote yeye hakutajwa. Pia marehem Mangwea ameimba nyimbo mbili na Jaydee lakini wakati wamaombolezo napo sikuzisikia nyimbo hizo za marehemu kwenye radio hiyo.

No comments:
Post a Comment