WAREMBO WAKIWA PANONE
WASHIRIKI waliofanikiwa kuingia katika kinyang'anyiro cha kumsaka Redds Miss Kilimanjaro 2013 leo wamepata fursa ya kutembelea kampuni mbali mbali zilizodhamini shindano hilo litakalofanyika tarehe 15/06/2013 pale Club Laliga.
WAREMBO WAKIWA NA MKUU WA MKOA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA NJE YA OFISI YA MKUU WA MKOA WALIPOTEMBELEA OFISI HIYO MAPEMA LEO
Kampuni zilizodhamini mashindano hayo ni pamoja na Redd's Original, Viafrica Bussines Solution, Panone and Co. Ltd, K.C.K Traders, Afrika sana holili, Hugos Hotel, Q Wine Hotel, Mr. Price, Kingjofa blog, Michuzi Blog. Shindano hilo linaloonekana kuwa gumzo kubwa sana katika mkoa wa kilimanjaro kwa jinsi ambavyo waandaaji walivyojipanga kuhakikisha kuwa wakazi wa mkoa wa kilimanjaro na mikoa ya jirani wanapata burudani ya kutosha siku hiyo.
WAREMBO WAKIWA NJE YA OFISI YA VIAFRICA BUSINESS SOLUTION
Ambapo kwa upande wa burudani atakuwepo KIDUMU pamoja na bandi yake pia wasanii kutoka bongo movie watakuwepo kuweza kutoa burua burudani ya aina yake katika kuusindikiza usiku huo wa urembo.
MSANII KIDUMU AKIFANYA VITU VYAKE KATIKA MOJA YA SHOW ZAKE ALIZOFANYA BARANI ULAYA HIVI KARIBUNI
WAREMBO WAKIWA BONITE BOTTLERS LTD
PICHA YA PAMOJA NA MKUU WA WILAYA
YOU MIGHT ALSO LIKE THIS
No comments:
Post a Comment