Basi
lifanyalo Safari zake kati ya Mkoa wa Arusha, Kilimanjaro na Dar es
salaam lijulikanalo kama "Sai Baba" leo limepata ajali wakati likiwa
njiani kuelekea jijini Dar es salaam. Maisha Times itazidi kuwapa habari zaidi juu ya waliojeruhiwa/kufa katika ajali hiyo.
Endelea kufatilia kwa habari zaidi..
No comments:
Post a Comment