Umati
wa mashabiki wa muziki wa kizazi kipya waliofurika katika viwanja vya
ushirika kushuhudia tamasha la ziara ya muziki ya Kili jijini Moshi.
Snura
Mushi, a.k.a Mamaa Majanga akionesha umahiri wake mbele ya mashabiki
wake wa mkoa wa Kilimanjaro waliofurika katika viwanja vya Ushirika
waliofurika kushuhudia tamasha la tatu la ziara ya muziki ya Kili.
Kundi bora la muziki kwa mujibu wa tunzo za Kili za mwaka huu, Jambo Squad, wakionesha ubora wao katiika jukwaa la tatu la ziara za muziki za KIli zinazoendelea nchi nzima
Nasib Abdul, a.k.a Diamond, naye alikuwa ni mmoja kati ya watumbuizaji waliotia fora katika tamasha la Moshi lililovunja rekodi kwa kuhudhuriwa na mashabiki wengi kuliko matamasha yote ya ziara hiyo kwa mwaka 2013.
Diamond Platinumz alikuwa ni mmoja kati ya wasanii walioshangiliwa sana jukwaani, hapa akiwajibika jukiwaani.
Wadau wa muziki na wadau wa #teamKINGJOFA na #teamANACONDA hawakutaka kukosa show hiyo
DJ CHOKA
Wadau wa muziki na wadau wa #teamKINGJOFA hawakutaka kukosa show hiyo
No comments:
Post a Comment