Taswira
mbalimbali zinazoonesha maandalizi ya mapokezi makubwa ya Rais wa
Marekani Barack Obama atapowasili Ikulu jijini Dar es salaam mchana huu.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete kama ilivyo kawaida yake amepita kila mahali
kuangalia kwamba mambo yanaenda mswano, ikiwa ni pamoja na kusaliamiana
na makundi
No comments:
Post a Comment