Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, April 7, 2014

TAZAMA PICHA KUMI ZA ENGAGEMENT PARTY YA DADA TRIPHONIA CLEMENCE MAASAI....,

Usiku wa jana ni usiku wa Furaha kwa dada Triphonia Clemence Maasai iliyofanyika huko Makuyuni wilaya ya Monduli alipovalishwa pete na Mchumba wake Novatus Maleto. Ilikua ni siku ya Furaha kwao kwa kutimiza moja ya hatua muhimu ya uchumba.

Novatus Maleto Mchumba wa Dada Triphonia akiwa Mbele ya Mchumba wake akipokea maelezo kabla ya kumvisha pete.


Mila zikifanyika kabla ya Tendo la Kuvishana pete.

Triphonia Maasai na Mchumba wake Mr Novatus Maleto wakisikiliza maelekezo kabla ya kuvishana pete.

Triphonia akivalishwa Pete ya Uchumba na Mchumba wake Mr. Novatus Maleto 

Hapa ndipo furaha ilipokua ikikamilishwa kwa Dada Triphonia Clemence Masaai wakati pete ikivikwa.

Wageni wakiwa makini kushuhudia tendo la uvishwaji pete kwa Dada yetu Triphonia Clemence Maasai 


Wageni wakicukua picha za kumbukumbu katika tuko hilo.

Triphonia Clemence Maasai akionesha pete kwa wageni.


 Blog ya Kingjofa inampongeza dada yetu Triphonia kwa hatua aliyofikia na Inawatakia maisha mema yeye na Mchumba wake Ndugu Novatus Maleto.

No comments:

Post a Comment