![]() |
| Hapa akiwaonyesha mashabiki hao jinsi kiuno kinavyokatwa huku wachesha shoo wake wakimshuhudia bosi wao anavyoonesha ufundi wa kuzungusha nyonga |
![]() |
| HII i nyomi ya watu waliofulika kwenye uwanja huo ambapo kiingili ilikuwa ni a.k.a Buree |
![]() |
| Wapili kupanda ni mkali Dimpoz |
![]() |
| Fid Q alikuwa wa mwisho kupafomu kwenye tamasha hilo la Wajanja |
![]() |
| Watatu kufafomu kwenye shoo hiyo ya wajanja ilikuwa ni mkali Shetah ambaye aliuwasha moto kisawasawa |






No comments:
Post a Comment