Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, June 26, 2012

CHEK PICHA ZA STAA WA NIGERIA OMOTOLA ALIVYOKUA BEGA KWA BEGA NA WEMA SEPETU!

Posted: 25th June 2012 by MillardAyo
Wema Sepetu muda mfupi tu baada ya kutoka kwenye chumba chake cha Hoteli, alikua ndio anashuka kwenda kwenye eneo la party yenyewe.
Omotola na Wema katika uzinduzi wa movie yake mpya na ya kwanza, uzinduzi umefanyika Dar es salaam na itatoka wiki ya kwanza ya July.
Omotola na Wema wakifurahia kuwaona mabibi bomba wakipita kwa stage.
Pamoja na uzinduzi wa movie kulikua na ishu nyingine zilizoendelea, mabibi bomba kutoka Clouds Tv walipita kwenye stage.
Bibi Bomba ya CLOUDS TV nayo ilipata chance ya kuonekana.
.
Omotola alipata nafasi ya kupiga picha na fans wake.
.
.
Mwigizaji Mainda Suka akipoz na Omotola.
.
Millard Ayo na Omotola, Stori kamili utazipata on AMPLIFAYA na millardayo.com baadae.

No comments:

Post a Comment