Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 24, 2012

AJALI: BASI LA SIMBA MTOTO NA DAR EXPRESS YAGONGANA USO KWA USO ENEO LA WAMI...!


 
 
  Abiria wakiwashusha wenzao kutoka kwenye bus la Dar Express.
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
 
Basi la Dar Express lililokuwa linatoka Arusha na basi la Simba Mtoto lililokuwa linaenda Tanga yamegongana uso kwa uso maeneo ya Wami. Majeruhi wa ajali hiyo wamepelekwa katika hospitali ya Chalinze kwa ajili ya matibabu. 
 
 
KWA HABARI ZAIDI KUHUSIANA NA AJALI HIYO ENDELEA KUTEMBELEA www.kingjofa.blogspot.com

No comments:

Post a Comment