Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 31, 2012

BEAKING NEWS: DIAMOND PLATNUM YUPO HOI, AKIMBIZWA HOSPITAL..!

Diamond asumbuliwa na
kifua alazwa kwa muda


Hii ni picha ya Diamond akiwa hospitali
baada ya kubanwa ghafla na kifua na
hivyo kwenda kufanyiwa uchunguzi ili
kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy
Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa
karibu tayari msanii huyo
amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo
vyake yatatoka kesho.
Miezi ya hivi karibuni Diamond
amefululiza kufanya show katika mikoa
mbalimbali bila kupata mapumziko ya
kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni
sababu.
Kupitia Twitter Diamond ameandika
"Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."
Tunamwombea Diamond apone haraka.
Hii ni picha ya Diamond akiwa hospitali baada ya kubanwa ghafla na kifua na
hivyo kwenda kufanyiwa uchunguzi ili kujua tatizo. Kwa mujibu wa Ommy
Dimpoz ambaye ni mshikaji wake wa karibu tayari msanii huyo
amesharuhusiwa lakini majibu ya vipimo vyake yatatoka kesho.
Miezi ya hivi karibuni Diamond amefululiza kufanya show katika mikoa
mbalimbali bila kupata mapumziko ya kutosha na huenda hiyo ndio ikawa ni
sababu. Kupitia Twitter Diamond ameandika "Dah hali yangu si nzuri, naumwaaa."
Tunamwombea Diamond apone haraka.

No comments:

Post a Comment