Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 8, 2012

CHEK PICHA ZA WEMA SEPETU NA JACQUELINE WOLPER ULINGONI ...!

   

Mwamuzi akiamua mpambano uanze.

 
Wolper na Wema wakionyeshana ubabe.

 
Wema akipata mawaidha kutoka kwa mwalimu wake Rashid Matumla.

Waigizaji mahiri wa filamu nchini, Wema Sepetu na Jacqueline Wolper wametoka suluhu katika mpambano wao wa raundi 2 uliofanyika katika Uwanja wa Taifa jijini Dar e Salaam kwenye Tamasha la Usiku wa Matumaini, Mpambano huo ulifikia mwisho bila kujulikana mbabe.

No comments:

Post a Comment