Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 8, 2012

PICHA ZA WABUNGE WA SIMBA WALIVYO WAKANDAMIZA WABUNGE WA YANGA KWA PENALTI 3-2...!

 
Wachezaji wa Simba (Wabunge) wakishangilia ushindi 
baada ya kuwafunga watani wao wa Yanga (Wabunge) kwa penalti 3-2.

 
Yanga baada ya kipigo hicho.

Hivi ndivyo hali ilivyokuwa katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam katika mtanange wa watani wa jadi Simba na Yanga (Wabunge) wakati wa TAMASHA LA MATUMAINI ambapo wabunge wapenzi wa timu ya Simba wameibuka kidedea kwa penalti 3-2.  Simba wamefunga penalti 3 wakati Yanga wakifunga 2.

No comments:

Post a Comment