Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 1, 2012

DOGO JANJA, AMERUDI ARUSHA TENA..!

Dogo Janja na Meneja wake mpya Ostaz Juma wamekwenda Arusha kwa siku tatu toka Ijumaa kwa ajili ya Meneja kwenda kukutana na wazazi wa Dogo Janja na kufahamiana kwa sababu yeye ndio atakua anamlea sasa hivi, vilevile meneja huyo amesema Dogo Janja anarudi kwenda kusoma Makongo baada ya walimu wake kusema hakuna tatizo lolote anaweza kuendelea na shule.
Dogo Janja akiwa njiani na meneja wake na friends kuelekea Arusha.
.
.

No comments:

Post a Comment