Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 1, 2012

STEVE NYERERE NA ALAMA ZA FREEMASON...!

Steven Mengere ‘Steve Nyerere’.
Shakoor Jongo
MCHEKESHAJI maarufu nchini, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amewashangaza watu baada ya kuonekana akionesha alama zinazotumiwa zaidi na Freemason.
Steve Nyerere alifanya kituko hicho wikiendi iliyopita katika Ukumbi wa Kilimanjaro Kempiski ambapo kulikuwa na hafla ya uzinduzi wa filamu ya Wema Sepetu, aliyoipa jina la Usiku wa Wema, ambapo alivaa suti yenye alama za jamii hiyo huku akionesha vidole kwa alama inayoaminika inatumiwa na Freemason (angalia picha).
“Tangu hii staili ya Freemason ivume imekuwa tabu, sasa hata Steve Nyerere naye anataka kujifanya Freemason, kweli mastaa hawapitwi,” alisikia mdau mmoja aliyekuwa ukumbini humo.

No comments:

Post a Comment