Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 29, 2012

FACEBOOK: SOMA ALICHOKIANDIKA JAPHET KUHUSU MGOMO WA WALIMU...!

Japhet Lufunga
MAWAZO YA MDAU KUHUSU MGOMO WA WALIMU!

Shule zinafungwa tarehe 3, August ( primary na secondary), sasa huo mgomo una nguvu gani/ yaani hauna madhara kwa serikali hata kidogo. rais wa chama cha walimu ni kilaza kwa sababu hajui timed reinforcement/ appropriate time kufanya mgomo.

Walimu wote wanaenda kuhesabu sensa kuanzia tarehe 06. August kwa kuhudhuria semina elekezi, sasa ataiathiri vipi serikali ili iweze kumtimizia madai yake.

NB: Naomba mfahamu kuwa viongozi wa CWT wapo kimaslahi zaidi/binafsi na sio kuwatetea walimu.
 *Wakufunzi wote wa vyuo vya ualimu wameshastukia hilo, hawaungi mkono mgomo, na wapo mbioni kujitoa CWT ili kuanzisha chama chao ambacho kitakuwa na nguvu kudai haki zao kuliko ilivyo sasa kuburuzwa na CWT.

Habari ndio hiyo.

No comments:

Post a Comment