Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Sunday, July 29, 2012

Jipatie kifaa kipya na cha kisasa cha Internet kwa bei poa kabisa...!

 • Country: Tanzania
 • City: Arusha
 • Contacts: +255789884221
 • Listed: July 28, 2012 11:23 pm
 • Expires: 999 days, 15 hours
 • Price Tshs. 150,000
Jipatie kifaa kipya na cha kisasa cha internet kwa bei poa kabisa!!!

Description 

Habari njema kwa watanzania wote. Sasa tumaweletea kifaa kipya na cha kisasa kiitwacho MiFi kutoka Marekani, ambacho kinatumia line za mitandao ya simu za mikononi na kurusha internet kwa njia ya wireless. Kifaa hichi kama kinavyoonekana hapo chini kwenye picha kina uwezo wa kuunganisha hadi computer tano kwa njia ya wireless na kukupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.Sifa za kifaa hiki:

 • Kifaa hiki kina uwezo wa kuconnect hadi device 5 zenye uwezo wa WiFi kwa wakati mmoja kama vile Computers, PDA’s, cameras, music players, personal game players n.k huku ikiendelea kukupa internet yenye speed na kasi ya ajabu.
 • Kifaa hiki kinatumia Rechargeable battery aina ya Lithium Ion yenye uwezo wa kukaa na chaji hadi masaa manne hivyo huna haja ya kuwa na wasi wasi wa kukosa mtandao endapo ukiwa katika eneo ambalo halina umeme.
 • Pia kifaa hiki kinamrahisishia mtumiaji kuweza kuconnect internet kwa njia ya wireless mahali popote na wakati wowote bila ya kuwa na haja ya kuinstall software yoyote.
 • Pia kifaa hiki kinatumia line za mitandao yote ya simu ya mkononi hivyo kukurahisishia wewe mtumiaji kuweza kubadilisha line endapo mtandao mmoja utasumbua badala ya kuwa na modem za mitandao yote ya simu ambazo pia zinaweza kusababisha error katika computer yako endapo utainstall software nyingi za modem katika computer yako.
 • Kifaa hiki pia kina muonekano mzuri, kidogo mfano wa simu aina google IDEOS na ni chepesi ambacho kinakuwezesha wewe kuweza kutembea nacho kwa urahisi mahali popote upendapo.
 • Kifaa hiki pia kina uwezo wa NovaSpeed ambayo inakupa internet yenye kasi ya ajabu tofauti na modem za mitandao ya simu za mikononi.
 • Kifaa hiki kina uwezo wa kusafirisha signals za wireless kwa zaidi ya mita 10 (30ft).
 • Speed ya kifaa hiki ni (7.2 Mpbs download na 5.76 Mbps upload)

No comments:

Post a Comment