Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 19, 2012

GLOBAL PUBLISHERS YACHANGIA MILIONI 10 UJENZI WA HOSTELI ZA WASICHANA NCHINI...!

Kampuni ya Global Publishers & General Enterprises Ltd leo imetoa hundi ya shilingi milioni 10 ikiwa ni sehemu ya mapato yaliyopatikana kwenye Tamasha la Matumaini lililoandaliwa na kampuni hiyo kwa ajili ya kuchangia ujenzi wa hosteli za wasichana nchini. Kampuni hiyo imetoa hundi hiyo kwenye hafla fupi iliyofanyika katika Hoteli ya Atriums iliyopo Sinza jijini Dar es Salaam.

No comments:

Post a Comment