Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 19, 2012

HII NI HUZUNI KUBWA ..MSIBA MKUBWA KWA TAIFA..ZOEZI LA KUTAMBUA MAITI ZA AJALI YA MALI YA SKAGIT LIKIENDELEA ZANZIBAR...!

 
 Baadhi ya Maiti za watoto zilizopatikana katika Ajali ya Meli ya Skagit iliozama zikiwa katika Eneo la Maisara kwa ajili ya kutambuliwa na Nduguzao.Hadi mchana huu Maiti zilizopatikana ni 39 kwa mujibu wa Kamanda wa Polisi Zanzibar na bado waokoaji wanaendelea na zoezi hilo katika eneo la Tukio.
 

No comments:

Post a Comment