RAMADHANI Ighondu,
afisa wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS), ndiye ametajwa kuwa
mtekelezaji wa mkakati wa utekaji wa Dk. Steven Ulimboka, Afisa huyo,
licha ya kutambuliwa na Dk. Ulimboka mwenyewe, ndiye simu yake
ilitumika kuandaa kikao ambako daktari alitekwa.
Ni
afisa huyohuyo wa usalama ambaye alikutana na Dk. Ulimboka dakika
chache kabla ya kutekwa. Uchunguzi umegundua kuwa Ramadhani Ighondu
(34), ni mfanyakazi wa ikulu aliyekuwa akifanya mawasiliano ya mara kwa
mara na Dr. Ulimboka. Ni mfanyakazi huyuhuyu ambaye Dr. Ulimboka
amenukuliwa akisema, alinipigia simu na kuniita kwenye kikao ambako
muda mfupi baadaye nilitekwa.
Nyaraka
nyeti ambazo mwandishi ameona zinaonyesha kuwa Ramadhani ndiye pia
huitwa Rama-jina ambalo hutumia katika kujitambulisha na katika baadhi
ya mawasiliano.
Rekodi
katika simu ya Dr. Ulimboka: Na. 0713731610 zinaonyesha Rama ndiye
alifanya mawasiliano ya mwisho na daktari huyo muda mfupi kabla ya
kutekwa. Aidha, ni Rama ambaye alikutana na kiongozi huyo wa Jumuiya ya
Madaktari Tanzania, maeneo ya Leaders Club, jijini Dar es Salaam, muda
mfupi kabla ya kutekwa. Dr. Ulimboka alitekwa usiku wa 26 Juni,
kusukumizwa kwenye gari, kupigwa, kufungwa mikono na miguu, kunyofolewa
kucha na kutolewa meno; na hatimaye kutupwa katika msitu wa
Mabwepande.
Rama
alifanya mawasiliano ya mwisho na Dk. Ulimboka saa 5:52 kupitia simu
Na. 0713760473. Dokta alitekwa muda mfupi baadaye. Rais Jakaya Kikwete
aliliambia taifa kwa njia ya televisheni, mwishoni mwa mwa Juni, kuwa
serikali yake haihusiki na kuteka, kutesa na kutupa daktari porini. Naye
Waziri Mkuu Mizengo Pinda aliliambia bunge kuwa serikali yake
haihusiki na utekaji na utesaji; na kuuliza serikali imteke ili iweje?
Mawasiliano
katika simu ya Dk. Ulimboka yanaonesha mtiririko wa simu za Rama wa
ikulu hadi muda wa kutekwa katika eneo la Leaders Club. Vyanzo vya
taarifa ndani ya idara ya usalama wa taifa vinasema, kwa sasa Rama
amehifadhiwa kwenye jengo moja la kificho linalotumiwa na idara hiyo
lililopo eneo la Ada Estate, Kinondoni, Dar es Salaam.
Simu Na. 0713760473 iliyokuwa ikifanya mawasiliano ya mara kwa mara na Dk. Ulimboka, ni mali ya Rama. Huyo ndiye Ramadhani Ighondu (Rama). Mzaliwa wa Makole, Dodoma. Mfanyakazi wa Idara ya Usalama wa Taifa (TISS). Idara hii iko chini ya Ofisi ya Rais (Utawala Bora) inayoongozwa na Othman Rashid.
HIZI NI TAARIFA ZAKE TOKA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA
Ramadhani Ighondu,
Nickname: Rama
Born: 28.08.1978
Place :Makole-Dodoma
Voter Registration Card: 49406879
Mobile Number:0713760473
Nickname: Rama
Born: 28.08.1978
Place :Makole-Dodoma
Voter Registration Card: 49406879
Mobile Number:0713760473
Dk.
Ulimboka ambaye anaendelea na matibabu nchini Afrika Kusini,
amethibitisha MwanaHALISI kuwa mtu ambaye alikuwa anawasiliana naye mara
kwa mara na kumuita kwenye mkutano maeneo ya Leaders Club, 26 Juni
2012, anatumia simu Na. 0713760473.
Akizungumza
kwa kujiamini Dr. Ulimboka amesema, Ndio. Hiyo namba naikumbuka
vizuri. Ni 0713760473. Mwenye namba hiyo alikuwa akijitambulisha kwangu
kwa jina la Abeid. Huyo bwana ndiye niliyekutana naye Leaders Club
muda mfupi kabla ya kutekwa.
Alipoulizwa
anawezaje kukumbuka namba iliyokuwa inafanya mawasiliano nay eye
wakati kipigo alichokipata kutoka kwa watekaji kilikuwa kikubwa hadi
kupoteza fahamu, Dr. Ulimboka alisema: Ninafahamu ninachokisema. Huyo
bwana ilikuwa ninawasiliana naye mara nyingi na niliwahi kukuta naye
katika mgogoro ule wa kwanza wa madaktari. Kauli hii ya Dk. Ulimboka
inafanana na ile aliyoitoa kabla ya kupelekwa Afrika Kusini kwa
matibabu, 30 Juni 2012. Katika mahojiano yake yanayopatikana kwenye
mtandao wa kijamii wa You Tube, Dr. Ulimboka anasema, Huyu bwana kwa
muda wa siku tatu mfululizo alikuwa anajaribu kuwasiliana na mimi
lakini kwa bahati mbaya ratiba yangu ilikuwa haiwezekani kumuona.
Nilishawahi
kukutana naye kwenye mgogoro ule mwingine, lakini this time of course
(mara hii) alikuwa serious (makini) akinitafuta Huyu bwana anafanyakazi
ikulu. Katika mahojiano hayo, Dk. Ulimboka anasisitiza kuwa wakati
anatekwa alikuwa na akili timamu na hivyo anamfahamu aliyemteka kkuwa
ni mtu kutoka ikulu. Dr. Ulimboka anasimulia mtu wa ikulu alivyoingia
kwa gari pale walikomwambia wameketi na kumuuliza iwapo alikuwa na Deo
(Dk. Deogratias Michael) na kwamba walianza majadiliano yaliyohusu hali
ya mgomo na jinsi wao walivyokuwa wakiona unaweza kutatuliwa.
Kabla
ya Dk. Ulimboka kutekwa, Rama alianza kufanya mawasiliano naye saa
12:25 jioni. Mawasiliano hayo yaliendelea 3:29 usiku, saa 4:52, saa
5:27, saa 5:40 na mwisho ilikuwa saa 5:52 usiku. Haya mawasiliano
ambayo Dk. Ulimboka aliishasimulia kuwa yalielekea katika kukutana
kwake na mwenye simu Na. 0713760473. Ni mwenye simu hii aliyeandaa
mkutano, anakumbuka Dk. Ulimboka. Kabla simu ya Rama kumwita Dk.
Ulimboka kwa mara ya kwanza siku hiyo, saa 12:25, ilifanya mawasiliano
na Buruani Ntilongwa, mmiliki wa simu Na. 0712359533.
Mawasiliano
hayo yalifanyika kati ya saa 2:08 na 2:24 usiku. Aidha, nyaraka
zinaonesha kila pale Rama alipowasiliana na Dr. Ulimboka, alifanya
mawasiliano pia na Moshi Marungu Shabani anayemiliki simu Na.
0761132663 na 0655162663. Nakwambia ndugu yangu, kila pale ambapo Rama
alifanya mawasiliano na Dk. Ulimboka, utaona hapohapo alifanya
mawasiliano na Abdallah Kunja na Ntilongwa. Hawa ni watu muhimu sana
kwenye sakata hili. Taarifa zimeeleza.
Siku mbili kabla ya Dk. Ulimboka kufanyiwa unyama huo (24 June 2012), simu ya Rama iliingizwa salio la Sh. 252,849.
Hili ni salio kubwa pekee kuingizwa kwenye simu hiyo tangu mwanzo ya
mwaka huu. Nyaraka zinaonyesha tarehe 4 Mei 2012 simu ya Rama iliwahi
kuishiwa salio kabisa hadi kufikia kiwango cha Sh.1.
Kwa
mujibu wa nyaraka hizo zilizosambazwa na kituo cha sheria na haki za
binadamu sehemu mbalimbali duniani, Rama kila alipomaliza kumuita Dk.
Ulimboka, haraka alipiga simu kwa Kunja, Ntilongwa na Marungu.
Wengine ambao walikuwa na mawasiliano ya mara kwa mara na Rama kabla ya kutekwa kwa Dk. Ulimboka ni
Mohammed Hassan Na. 0655524444, Shomari Kondo Na. 0714666304, Optat Jacob Marandu Na. 0716611625, Mbega Hisbert Na. 0715222778
Mohammed Hassan Na. 0655524444, Shomari Kondo Na. 0714666304, Optat Jacob Marandu Na. 0716611625, Mbega Hisbert Na. 0715222778
Kwa
mujibu wa kumbukumbu zilizopo kwenye daftari la wapigakura la NEC,
Mohammed Hassan, ni mkazi wa Ilala, Dar es Salaam. Alizaliwa 12 Agosti
1980. Mbali na kumiliki namba hiyo, anatumia pia namba nyingine:
0717242789.
Shomari Kondo amezaliwa 1 Januari 1976. Ni mkazi wa Dar es Salaam. Anamiliki simu nyingine Na. 0713671640.
Marandu
ametambuliwa kwenye daftari hilo kuwa amezaliwa 1979 mkoani Dodoma;
huku Mbega akionyeshwa kuzaliwa 16 Mei 1978 na mkazi wa Tabata, jijini
Dar es Salaam.
Taarifa
nyingine kutoka ndani ya idara ya usalama wa taifa zinasema, tangu 26
Juni 2012, pale jaribio la kumteka Dk. Ulimboka lilipofanikiwa , Rama
aliacha kutumia simu yake hiyo. Alianza kutumia tena simu yake, tarehe 1
Julai kwa kutuma ujumbe mfupi (sms). Namba alizokuwa anatumia sana
kuwasiliana kuanzia 1 Julai 2012 ni:
0714293425
0717030405
0713510585 na
0715466995.
0714293425
0717030405
0713510585 na
0715466995.
Wakati
wakimtesa Ulimboka, ni Rama aliyekuwa akisisitiza kuelezwa kama
Ulimboka ametumwa na CHADEMA na kwamba ni nani hasa katika CHADEMA
anayemtumia. Mmoja wa watoa taarifa wa ndani ya idara ya usalama
anasema, Wazo lililopo Usalama wa Taifa ni kuwa Ulimboka anatumiwa na
Mnyika pamoja na Dk. Slaa Wengine ambao ni maswahiba wa Rama
aliowasiliana nao mara nyingi katika kipindi hicho ni; Abdi Abdi Na.
0713229919, Najma Damian Na. 0712704908, Spa Wilson I. Sima Na.
0712540502 na Zulfa Swalehe Na. 0719496505.
Katika
daftari la wapigakura, Abdi Abdi anaonyesha amezaliwa 1977; Spa Wilson
I. Sima amezaliwa mwaka 1960 na Zulfa Swalehe amezaliwa mwaka 1950.
Rama
ni mfanyakazi wa idara ya usalama wa taifa aliyepo chini ya naibu
mkurugenzi wa idara ya usalama anayeshughulikia siasa, Jack Zoka.
Anadaiwa kushiriki kikamilifu kumtesa Dk. Ulimboka katika moja ya
majumba ya kificho na hatimaye kumtelekeza msituni Mabwepande, nje ya
jiji la Dar es Salaam.
Uchunguzi
huu unakuja baada ya gazeti hili kuripoti kuwa Zoka, ndiye mtuhumiwa
Na. 1 kwenye sakata la utekaji na utesaji wa Dk. Ulimboka. Zoka
anatajwa pia katika kilichoitwa njama za kutaka kuangamiza maisha ya
katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk.
Willibrod Slaa, mbunge wa Ubungo, John Mnyika na wengine waliopachikwa
jina la wakosoaji wakuu wa serikali.
Taarifa
mpya za uchunguzi juu ya maandalizi na kutekwa kwa Dk. Ulimboka,
zinakuja wiki moja tangu Kamanda wa Kanda Maalum ya Polisi mkoani Dar es
Salaam, Suleiman Kova atangaze kufikisha mahakamani mtu mmoja aliyedai
amekiri kuhusika na utekaji wa Dk. Ulimboka. Kova aliwaambia wandishi
wa habari kuwa polisi wamekamata mtu aitwaye Joshua Malundi kutoka
Kenya ambaye amekiri kuteka na kutesa Dk. Ulimboka. Amedai kuwa
mtuhumiwa alikwenda kutubu katika Kanisa la Ufufuo na Uzima, Kawe Dar
es Salaam. Lakini tayari mchungaji wa kanisa hilo, Josephat Gwajima
amekana kauli ya Kova juu mtuhumiwa wake na kusema Serikali lazima
ieleze vizuri
Mchungaji
Gwajima amewaambia waamini wake,Kwanza huyo mtu hajaja kwetu kutubu.
Kama kutubu, basi mtu huyo angetubu huko kwao Kenya na kuhoji, kwani
kwao Kenya hakuna Mungu?.
Gazeti
la MwanaHalisi toleo la Jumatano, 25, Julai 2012 limeandika kwa kina
maelezo ya waliohusika na utekaji, utesaji na kujeruhiwa sana kwa
kiongozi wa jumuiya ya madaktari Tanzania, Dr Steven Ulimboka mnamo
tarehe 26 Juni 2012. Katika taarifa hiyo, majina ya Ramadhani Ighondu
(RAMA) ambaye ni afisa usalama wa Taifa limetajwa kuhusika na
mawasiliano ya mara kwa mara na hatimaye kupanga mkutano pale Leaders
Club ambako Dk Ulimboka alitekwa na kulazimishwa kuingia kwenye gari,
kupelekwa kwenye pori la Mabwepande. Majina mengine yaliyotajwa ambayo
RAMA alikuwa akiwasiliana nao punde alipompigia Dk Ulimboka ni Buruani
Ntilongwa (0712359533), Moshi Marungu Shabani (0761132663 na
0655162663)
Nakwambia
ndugu yangu, kila pale ambapo Rama alifanya mawasiliano na Dk Ulimboka
utaona hapohapo alifanya mawasiliano na Abdallah Kunja na
NtilongwaHawa ni watu muhimu sana kwenye sakata hili. Taarifa
zimeeleza.
Taarifa zinazidi kueleza kuwa simu ya bwana Rama iliingizwa salio la Sh. 252849. hili ni salio kubwa kwa mwaka huu.
Majina mengine ambayo Rama alikuwa akiwasiliano nao kabla Dk Ulimboka hajatekwa ni:
Mohamed Hassan (0655524444)
Shomari Kondo (0714666304
Optat Jacob Marandu (0716611625
Mbega Hisbert (0715222778)
Majina mengine ambayo Rama alikuwa akiwasiliano nao kabla Dk Ulimboka hajatekwa ni:
Mohamed Hassan (0655524444)
Shomari Kondo (0714666304
Optat Jacob Marandu (0716611625
Mbega Hisbert (0715222778)
Baada ya tukio Rama aliacha kutumia hiyo namba ya 0713760473 na kuanza kutumia namba zifuatazo
0714293425
0717030405
0713510585
0715466995
0714293425
0717030405
0713510585
0715466995
Dk
Ulimboka alitekwa na kuteswa sana kwenye mojawapo ya majumba ya
kificho na kutupwa kwenye msitu wa Mabwepande nje ya jiji la Dar es
salaam.
Rama
anafanya kazi idara ya usalama wa Taifa chini ya Naibu mkurugenzi wa
usalama anayeshughulikia siasa Jack Zoka. Zoka anatajwa katika njama
zilizozagaa hivi karibuni za kutaka kuangamiza maisha ya Katibu Mkuu wa
CHADEMA, Dk Wilbroad Slaa, Mbunge wa jimbo la Ubungo, Mh John Mnyika na
wengine wanaodaiwa ni wakosoaji wakubwa wa serikali.
Taarifa
hizi zinakuja wiki moja baada ya kamanda wa kanda maalum ya Dar es
salaam, Suleiman Kova kutangaza kumshikilia nna kumpeleka mahakamani
anayedaiwa kuhusika na utekaji nyara na utesaji wa Dk Ulimboka.
Kova aliwaambia waandishi wa habari kuwa Joshua malundi, raia wa Kenya ndiye aliyehusika na utekaji huo ambaye alishikwa alipokwendas kutubu katika kanisa la Ufufuo na Uzima linaloongozwa na Mch Josephat Gwajima. Mch Gwajima alikana hilo na kuidai serikali iseme ukweli.
Mchungaji Gwajima aliaambia waumini wake kuwa
“Kwanza huyo mtu hakuja kwetu kutubu.. kama kutubu kwani kule kwao Kenya hakuna Mungu?”
“Kwanza huyo mtu hakuja kwetu kutubu.. kama kutubu kwani kule kwao Kenya hakuna Mungu?”
SOURCE:MPEKUZI
No comments:
Post a Comment