Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Friday, July 27, 2012

JIHADHARINI NA VOCHA ZILIZOTUMIKA...!

   
Kuna njia mpya unatumika na vibaka na wezi wa magari kutoweka kwenye mkono wa sheria kutokana na uhalifu wao. Wanakusanya vocha zilizotuma pindi wanapotelekeza gari au kutupa miili ya watu waliokufa na kuacha vocha hizo zilizotumika kwenye tukio. Police wakifika eneo la tukio wanatumia namba za hizo vocha kusaka namba ya simu yamtumiaji wa hiyo vocha. Tayari watu wawili wameshikiliwa keko wameathirika na huu udanganyifu. Tafadhali hakikisha umeharibu vocha yako baada ya kutumia ili nawe usipatwe na janga hili.


No comments:

Post a Comment