Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Thursday, July 26, 2012

JOSE CHAMELEONE AANZISHA TIMBWILI UBALOZI WA TANZANIA NCHINI UGANDA

                                                Jose Chameleon akiongea kwa Jazba

UGANDA:
Mwana muziki mashuhuri kutoka Uganda Jose Chameleon amezusha sokomoko katika ubalozi wa Tanzania nchini Uganda baada ya kupiga kambi nje ya ubalozi huo usiku wa kuamkia leo.

Chameleon analalamika kuwa ubalozi umeshindwa kumsaidia kupata pasi yake ya kusafiria ambayo anasema ilichukuliwa na Promota mmoja wa Dar es Salama katika mazingira yasiyoeleweka

No comments:

Post a Comment