MKOA WA DAR ES SALAAM KUAZIMISHA SIKU YA MASHUJAA JULAI 25, 2012. WANANCHI WAOMBWA KUJITOKEZA KWA WINGI...!
ASKARI
WA JESHI LA ULINZI WA WANANCHI WA TANZANIA(JWTZ) WAKITOA HESHIMA ZAO KATIKA MNARA WA
MAKABURI YA MASHUJAA. ULIOPO JIJINI DAR ES SALAAM ENEO LA MNAZI MMOJA
Kiongozi
wa gwaride Meja WILBERT KUZILWA akiongoza gwaride lamazoezi jana jijini
kwaajili ya maadhimisho ya siku ya mashujaa Julai 25 2010. Wazee wa Fanya Fujo Uone (FFU) nao walikuwepo
Huu
ndio mnara wa Mashujaa uliopo Viwanja vya Mnazi Mmoja Dar es Salaam
ambapo kutafanyika maadhimisho ya siku ya Mashujaa kesho Julai 25 2010.
Kikosi cha bendera kikifanya mazoezi
Hawa waliigiza kama sehemu ya viongozi, Mabalozi na Wazee waliopigana vita zamani.
Hili ndo Vuvuzela la Kijeshi, ilikuwepo viwanja vya Mnazimmoja leo
katika mazoezi ya mwisho ya maadhimisho ya mashujaa hapo Julai 25 2010.
Ni mazoezi tu shughuli yenyewe ni hapo Julai 25 mwaka huu pale Mnazi Mmoja.
Baadhi ya Askari wa JWTZ wakiwa katika mazoezi ya gwaride maalum la siku ya Mashujaa inayoadhimishwa Julai 25 ya kila mwaka.
ASKARI WA JWTZ KOPLO MSHAMU KINDAMBA LEO JIJINI AKIWA KATIKA MAZOEZI YA MAADHIMIOSHO YA SIKU YA MASHUAJAA JULAI 25,2010.
No comments:
Post a Comment