Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Tuesday, July 24, 2012

OC CID KAWE APATA AJALI NA KUSEMA MENGI KUHUSU DR.ULIMBOKA


Mkuu huyu  alipata ajali jana baada ya kugongwa na gari akiwa amesimama nje ya gari. Amevunjika Pelvis. Alifikishwa Taasisi ya Mifupa Muhimbili jana Mchana.

 

 

 Alifikishwa hapo baada ya kuzungukia hospital  mbalimbali za jijini ikiwamo ''Lugalo referral hospital, na a

Agga khan lakini akaambiwa kwamba kwa fracture kama hyo lazima afike muhimbili-MOI in particular.

 Baada ya kuona kwamba hawezi kuepuka kwenda muh2, ikabidi aende tu huko lakini akiwa hana amani. 

 

Baada ya kufika MOI wafanyakazi wa Taasisi hyo walishangaa kundi kubwa la askari wakimwagwa hospital hapo ndio wakaanza kujiuliza ni nn kinaendelea?


Katika hali isiyo ya kawaida,afande huyo akaanza kujitetea huku akiwa na uchungu mkubwa kwamba, mimi sijahusika kabisa na kutekwa kwa Ulimboka. Jamani msinidhuru. Tena siku hiyo mimi skuwepo''. Hali iliendelea kuwa hivyo hasa pale alipotakiwa kuchomwa sindano,alionyesha uoga na kuuliza 

 

 ''Jamani mnanichoma sindano gani hyo,msiniue jamani?''

 

. Wakati hayo yakiendelea,mama mzazi wa afande huyo aliwashangaza watu alipomfata Dr mmoja(jina linahifadhiwa) kwa kutambaa na kumuomba huyo Dr kwamba

 

 ''jamani mwanangu hakuhusika kabisa jamani. Naomba mumsaidie."

No comments:

Post a Comment