Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Monday, August 13, 2012

Agosti 13 Leo Na FID Q


Agosti 13: Leo ni siku ya kuzaliwa mmoja wa magwiji wa Hip Hop nchini ambaye mistari yake ni chuo tosha, toka Huyu na Yule hadi Fid-Q dot com mpaka akadondosha Propaganda na majuzi katoka na Sihitaji Marafiki. Bado mashairi yake yanaendelea kuwa bora siku hadi siku. Sisi Tunamtakia Fareed Kubanda "Fid-Q" Heri katika siku yake ya kuzaliwa. Unaweza pia kumtakia Ngosha Happy Birthday kupitia hapa......!

No comments:

Post a Comment