Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe akimtambulisha kwa wanaharakati Mbunge wa Arumeru Mashariki Joshua Nasari wakati wa ufunguzi wa harambee ya Movement For Change - M4C
iliyopo chini ya CHADEMA. Jumla ya shilingi Milioni 323 zimepatikana
katika harambee hiyo ambapo katika hizo pesa taslimu ni shilingi
milioni 70 na ahadi ni milioni 253. Hafla hiyo ya kuchangia ilifanyika
katika hoteli ya Serena jijini Dar.
Mbunge mstaafu wa Jimbo la Arusha Godbless Lema akizungumza katika harambee hiyo.
Wanaharakati mbali mbali waliojitokeza kuhudhuria hafra hiyo.
Source: Kajunason
No comments:
Post a Comment