Nani anasema Moshi hakuna starehe? Kama unabisha angalia vijana kutoka Nairobi na Arusha wakiwa kwenye Moja ya Club iliyopo mjini Moshi wakivuta raha siku za weekend.
Kutoka kushoto ni Frank akiwa na Dany wakila bata Makumba Bay CLUB, iliyopo mjini Moshi.
Kutoka kushoto ni G, Kevo, Vicen, Frank, Kevo na Dany wakila bata maeneo ya Moshi kwenye club moja inayojulikana kwa jina la Makumba Bay
No comments:
Post a Comment