Banner

Banner

FOLLOW US FACEBOOK

propertyfinder.co.tz

Saturday, August 4, 2012

Clinton akizungumza na viongozi wa Kenya leo...!


Hillary Clinton katika ziara yake Afrika, akiwa na waziri wa Afya wa Senegal
Hillary Clinton alifanya mazungumzo na Rais Kibaki na Waziri MKuu Raila Odinga.
Bi Clinton alisema mazungumzo yake yalihusu maswala kadha pamoja na uchaguzi wa mwaka ujao nchini Kenya, na hali katika nchi ya jirani, yaani Somalia, ambako wanajeshi wa Kenya wanapigana na kundi la wapiganaji wa Kiislamu, Al Shabaab.
Bibi Clinton anaarifiwa kuiambia Kenya kuwa Marekani iko tayari kuisaidia Kenya kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka ujao, na Marekani inataraji uchaguzi huo utafanywa kwa salama.
Bibi Clinton piya alitarajiwa kukutana na wawakilishi wa serikali ya mpito ya Somalia walioko Nairobi.

No comments:

Post a Comment